Jumbe
Hafla za Kumbukumbu ya Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani Mjini Mashhad na Qom
Hafla ya maombolezo na kumbukumbu ya Marjaa mtukufu, Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani, itafanyika kesho usiku (Alhamisi, 28 Aban) kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, baada ya Sala ya Magharibi na Isha, katika Riwaq ya Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu) ndani ya Haram tukufu ya Razavi mjini Mashhad.
Soma ujumbe wa hivi karibuni






