Hii ni tafsiri ya matini asilia ya Kiajemi. Matini asilia kwa Kiajemi

Mwakilishi wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akiwa mjini Moscow, alikutana na Vladimir Putin na kumkabidhi ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu.