Hii ni tafsiri ya matini asilia ya Kiajemi. Matini asilia kwa Kiajemi

Majlisi ya maombolezo na kumbukumbu ya marjaa mtukufu, Ayatullah al-Udhma Sayyid Musa Shobeiri Zanjani, itafanyika kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu siku ya Jumatano, 1 Mehr, baada ya Sala ya Magharibi na Isha katika Shabestan (ukumbi wa sala) wa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu) katika Haram ya Bibi Maasuma (amani iwe juu yake) mjini Qom.