Mwakilishi wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Akutana na Vladimir Putin Mjini Moscow
Mwakilishi wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akiwa mjini Moscow, alikutana na Vladimir Putin na kumkabidhi ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi kwa Mnasaba wa Wiki ya Kujihami Kutakatifu na Kumbukumbu ya Kuuawa Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah
وَ لَقَدْ اَرسَلنْا موسی بِایاتِنا اَنْ اَخرِجْ قَومَکَ مِنَ الظُّلُماتِ اِلی النّورِ وَ ذَکِّرْهُم بِاَیّامِ الله Na hakika tulimtuma Musa pamoja na ishara Zetu, (tukamwambia): Watoe watu wako kutoka kwenye giza…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Wiki ya Umoja wa Kiislamu
مُحمّدٌ رَسولُ الله وَالّذینَ مَعَهُ اَشِّداءُ عَلی الکُفّارِ رُحَماءُ بَیْنَهُم Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na walio pamoja naye ni wakali juu ya makafiri, wenye kuhurumiana wao kwa wao. (Qur'ani, Al-Fat'h…
Wananchi wa Iraq Waliweka Historia ya Kishujaa katika Mazishi ya Shahidi Khamenei
Hafla ya kumbukumbu ya siku ya arobaini tangu kusindikizwa na kuzikwa kwa Shahidi Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ilifanyika katika jengo la Kurugenzi Kuu ya Habari ya taasisi…

Uzinduzi wa Kitabu “Mapambazuko ya Mfumo Mpya wa Dunia” mjini Baghdad
Toleo la Kiarabu la kitabu “Mapambazuko ya Mfumo Mpya wa Dunia” lilizinduliwa katika kongamano lenye mada “Mfumo Mpya wa Dunia” katika fikra za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, likihudhuriwa na baadhi ya viongozi wa…

Jibu la Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Barua ya Kiapo cha Utii ya Katibu Mkuu na Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon
Mheshimiwa Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Naim Qassem (Mwenyezi Mungu adumishe izza yake), Katibu Mkuu mtukufu wa Hizbullah ya Lebanon, na makamanda na wapiganaji wote wa Hizbullah walio tayari kutoa roho zao, wenye…
Barua ya Kiapo cha Utii ya Katibu Mkuu na Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Katibu Mkuu na wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon, katika barua, huku wakitoa rambirambi kwa kuuawa shahidi Kiongozi shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, wametoa kiapo cha utii (bay'a) kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi…
Ujumbe wa Shukrani kwa Taifa la Iraq kwa Tukio la Kishujaa la Kumzika Imam Mwanajihadi Shahidi
Tunatuma salamu, heshima, taadhima na shukrani nyingi kwa Marajii wakuu watukufu, maulamaa wenye heshima, wahadhiri na wasomi wa hawza za kielimu na vyuo vikuu, wanafikra na wasomi wenye thamani, maamiri na viongozi wa…
Ujumbe kwa Taifa la Iran Kuhusu Mkataba wa Maelewano kati ya Marais wa Iran na Marekani
Enyi wananchi wa Iran wenye hamasa na waaminifu, kama mlivyofahamishwa, mkataba wa maelewano umetiwa saini kati ya marais wa Iran na Marekani. Katika njia ya kufikia hatua hii, viongozi wanaohusika, kwa moyo wa kujali…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Ibada ya Hija
Ewe Mwenyezi Mungu! Naitikia wito Wako, Wewe huna mshirika yeyote, na sifa zote, neema zote na ufalme wote na nguvu zote zinatoka Kwako na ni Zako...
Jibu kwa Ujumbe wa Rambirambi na Kiapo cha Utiifu wa Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem
Kwa mheshimiwa ndugu yangu mpendwa na mpiganaji wa jihadi, Mheshimiwa Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah (ادام الله عمره وعزّه وعافيته – Mwenyezi Mungu adumishe umri wake, izza yake na afya yake)