Ujumbe kwa Mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Mapambano dhidi ya Ubeberu wa Kimataifa
Leo ni Siku ya Kitaifa ya Mapambano dhidi ya Ubeberu wa Kimataifa, na ni siku inayokusanya ndani yake mfululizo wa nukta za mabadiliko katika kujipanga kwa kambi ya haki dhidi ya kambi ya batili, na kambi ya…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Operesheni ya Zolfaghari huko Abadan
Tarehe 9 Aban ni kumbukumbu ya tukio la kishujaa la wananchi na operesheni ya kijasiri ya wapiganaji wa Uislamu dhidi ya wavamizi wa Kibaath na kuwafukuza kutoka kisiwa cha Abadan, siku arobaini tu baada ya kuanza kwa…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Kuzaliwa kwa Bibi Zainab na Siku ya Wauguzi
Tarehe tano Jamadil-Awwal kila mwaka inakumbusha kuzaliwa kwa baraka kwa bibi mtukufu ambaye alikulia chini ya kivuli cha mapenzi, malezi na kuambatana na Watu Watano Watoharifu (rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Wiki ya Polisi
Usalama ni miongoni mwa neema muhimu zaidi za Mwenyezi Mungu, na kudumishwa kwake katika maeneo mbalimbali ya Iran pendwa, kuanzia miji mikubwa hadi vitengo vidogo kabisa vya makazi vijijini na mitaani, kuanzia ulinzi…
Ujumbe kwa Kongamano la Thelathini na Tatu la Kitaifa la Sala
Kuzingatia jambo tukufu la “kusimamisha sala”, na hasa kufanyika kwa Kongamano la Sala, ni miongoni mwa hatua za lazima na zinazostahili ambazo zilianzishwa nchini tangu mwanzo wa muongo wa sabini (wa kalenda ya Hijria…
Ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi kwa Mnasaba wa Wiki ya Kujihami Kutakatifu na Kumbukumbu ya Kuuawa Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah
وَ لَقَدْ اَرسَلنْا موسی بِایاتِنا اَنْ اَخرِجْ قَومَکَ مِنَ الظُّلُماتِ اِلی النّورِ وَ ذَکِّرْهُم بِاَیّامِ الله Na hakika tulimtuma Musa pamoja na ishara Zetu, (tukamwambia): Watoe watu wako kutoka kwenye giza…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Kufunguliwa kwa Shule na Vyuo Vikuu
یَرفَعِ الله الَّذینَ آمَنوا مِنکُم وَ الَّذینَ اوتُوا العِلمَ دَرَجات Mwenyezi Mungu atawainua wale walioamini miongoni mwenu na wale waliopewa elimu kwa daraja. (Qur'ani, Al-Mujadilah 58:11)
Ujumbe kwa Mnasaba wa Wiki ya Umoja wa Kiislamu
مُحمّدٌ رَسولُ الله وَالّذینَ مَعَهُ اَشِّداءُ عَلی الکُفّارِ رُحَماءُ بَیْنَهُم Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na walio pamoja naye ni wakali juu ya makafiri, wenye kuhurumiana wao kwa wao. (Qur'ani, Al-Fat'h…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Wiki ya Serikali
Wiki ya kwanza ya mwezi wa Shahrivar kila mwaka ni mnasaba wa kushughulikia huduma za serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mwaka huu serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajivunia kwamba siku za Wiki ya Serikali…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Wiki ya Mhimili wa Mahakama na Kumbukumbu ya Kuuawa Shahidi Ayatullah Beheshti na Wenzake
Natoa rambirambi kwa taifa zima la Iran na Umma wa Kiislamu kwa mnasaba wa siku za msiba wa Aali-Allah na kuuawa shahidi kwa Hazrat Tharallah (rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na juu yao wote) na masahaba…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Idi ya Ghadir, Kumbukumbu ya Miaka 37 ya Kufariki kwa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu) na Kumbukumbu ya Kuanza kwa Uongozi wa Ayatullah Shahidi Sayyid Ali Khamenei
اَلحَمدُ للهِ الَّذی جَعَلَ کَمالَ دینِه وَ تَمامَ نِعمتِه بِوِلایةِ امیرِالمؤمنین علیِبنِ اَبیطالِب علیهالسّلام Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye amejaalia ukamilifu wa dini Yake na utimilifu wa neema Yake…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Kufunguliwa kwa Bunge la Kiislamu na Kuanza kwa Mwaka wa Tatu wa Shughuli za Bunge la Kumi na Mbili
Nawapongeza wananchi wote wapendwa wa Iran ya Kiislamu na wabunge waheshimiwa wa Bunge la Kiislamu (Majlis-e Shura-ye Eslami) kwa Idi tukufu ya Kuchinja (Idul-Adh'ha) na kumbukumbu ya kufunguliwa kwa awamu ya kwanza ya…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Ibada ya Hija
Ewe Mwenyezi Mungu! Naitikia wito Wako, Wewe huna mshirika yeyote, na sifa zote, neema zote na ufalme wote na nguvu zote zinatoka Kwako na ni Zako...
Ujumbe kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Pili ya Kuuawa Shahidi kwa Shahidi Raisi na Kuwaenzi Mashahidi wa Utumishi
Kuwaenzi mashahidi wa safari ya anga ya mwezi wa Ordibehesht, na juu yao wote Rais shahidi Hujjatul-Islam wal-Muslimin Raisi, kunakumbusha kuuawa shahidi kwa umati wa mashahidi watumishi katika Jamhuri ya Kiislamu ya…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Siku ya Kuienzi Lugha ya Kifarsi na Kumuenzi Hakim Abolqasem Ferdowsi
Lugha ya Kifarsi, pamoja na kuwa chombo cha kuzungumza na kuandika, inaunda kiunzi cha utambuzi, kiungo cha fikra na mipaka ya utambulisho wa Wairani. Lugha na fasihi ya Kifarsi ni moja ya uwezo mkubwa zaidi wa kueneza…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Siku ya Mfanyakazi na Siku ya Mwalimu
Siku mbili za tarehe kumi na moja na kumi na mbili Ordibehesht ni siku ambazo hadhi ya mfanyakazi na heshima ya mwalimu huenziwa. Mbali na pongezi za maneno na za kiishara, ambazo kwa upande wake ni jambo linalofaa na…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Ghuba ya Uajemi
Moja ya neema zisizo na mbadala za Mwenyezi Mungu Aliye Juu kwa mataifa ya Kiislamu ya eneo letu, hasa wananchi watukufu wa Iran ya Kiislamu, ni tunu ya «Ghuba ya Uajemi». Ni neema iliyo zaidi ya eneo la maji tu, ambayo…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Tarehe 29 Farvardin, Siku Adhimu ya Kuzaliwa kwa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
اِنَّ اللهَ یُحِبُّ الَّذینَ یُقاتِلونَ فی سَبیلِهِ صَفّاً کَاَنَّهُم بُنیانٌ مَرصوص. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wale wanaopigana katika njia Yake kwa safu, kana kwamba wao ni jengo lililoshikamana imara…
Ujumbe kwa Mnasaba wa Kuienzi Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Siku ya Maumbile
هُوَ أَنشَأَکُم مِنَ الأَرضِ وَاستَعمَرَکُم فیها Yeye ndiye aliyewaumba kutoka ardhini na akawaweka humo muistawishe. (Qur'ani, Hud 11:61)
Ujumbe wa Nowruz wa Mwaka 1405: Mwaka wa «Uchumi wa Kustahimili chini ya Kivuli cha Umoja wa Kitaifa na Usalama wa Kitaifa»
یا مقلب القلوب والابصار یا مدبّر اللیل و النهار یا محوِّل الحول و الاحوال، حَوِّل حالَنا الی احسن الحال. Ewe Mwenye kugeuza nyoyo na macho, Ewe Mwenye kuendesha usiku na mchana, Ewe Mwenye kubadilisha mwaka na hali…